KCSE Past Papers 2019 Kiswahili Karatasi ya 3 (102/3)

Kiswahili Karatasi 3 (102/3) MAJIBU 1. Haya ni maneno ya Msimulizi/mwandishi Yanamhusu Selume Selume yumo kwenye kituo cha Afya cha Mwanzo Mpya/ yanarejelea mandhari/ mazingira ya Kituo cha Afya cha Mwanzo Mpya Anawazia changamoto alizopata alipokuwa akifanya kazi kwenye hospitali Read More …

Share this:

KCSE Past Papers 2020 Kiswahili Karatasi ya 3 (102/3)

Karatasi Ya 3 Mwongozo Wa Kusahihisha i. Mzungumzaji ni Mwalimu Mstaafu ii. Anazungumza na hadhira ambayo imekukja kumuaga iii. Yuko shuleni II. Toni ya kuonya/kutahadharisha – si vizuri kukitia kutumbua mchanga III. i. Kuwadhalilisha wenzake kama vile Baraka, FEsto, Mshamba Read More …

Share this:

KCSE Past Papers 2020 Kiswahili Karatasi ya 2 (102/2)

Karatasi Ya 2 Maajibu (a) Kwa kurejelea kifungu, fafanua matatizo manne yanayoweza kusababishwa na matumizi ya simu kwa familia. (alama 4) i. Kunyamaziana/Upweke. Licha ya kuwa pamoja kila mtu anashughulika na simu yake. ii. Kutofahamu kinachoendelea kwenye ujirani wao/Watoto Kutoskia Read More …

Share this:

KCSE Past Papers 2020 Kiswahili Karatasi ya 1 (102/1)

Karatasi Ya 1 Insha Mwongozo Wa Kusahihisha 1. Hii ni ripoti Yafuatayo yazingatiwe:- a) Muundo Sura ya ripoti idhihirike i) Kichwa – kionyeshe kiini cha uchunguzi ii) Utangulizi   Mtahiniwa ataje jopokazi: wanachama walioteuliwa, aliyeteua jopokazi  Hadidu za rejea (Masharti Read More …

Share this:

KCSE Past Papers 2013 Kiswahili Paper 2 (102/2)

4.2.2 Kiswahili Paper 2 (102/2) UFAHAMU: (Alama 15) Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali. Gari lake kuukuu lilikuwa linapambana na barabara yenye mashimo yaliyoshiba na kutapika maji ya mvua ambayo sasa ilikuwa inaanza kupusa. Japo daima alipambana na usukani kunako mashimo Read More …

Share this: