KCSE Past Papers 2020 Kiswahili Karatasi ya 3 (102/3)

Karatasi Ya 3 Mwongozo Wa Kusahihisha i. Mzungumzaji ni Mwalimu Mstaafu ii. Anazungumza na hadhira ambayo imekukja kumuaga iii. Yuko shuleni II. Toni ya kuonya/kutahadharisha – si vizuri kukitia kutumbua mchanga III. i. Kuwadhalilisha wenzake kama vile Baraka, FEsto, Mshamba Read More …

Share this:

KCSE Past Papers 2020 Kiswahili Karatasi ya 2 (102/2)

Karatasi Ya 2 Maajibu (a) Kwa kurejelea kifungu, fafanua matatizo manne yanayoweza kusababishwa na matumizi ya simu kwa familia. (alama 4) i. Kunyamaziana/Upweke. Licha ya kuwa pamoja kila mtu anashughulika na simu yake. ii. Kutofahamu kinachoendelea kwenye ujirani wao/Watoto Kutoskia Read More …

Share this:

KCSE Past Papers 2020 Kiswahili Karatasi ya 1 (102/1)

Karatasi Ya 1 Insha Mwongozo Wa Kusahihisha 1. Hii ni ripoti Yafuatayo yazingatiwe:- a) Muundo Sura ya ripoti idhihirike i) Kichwa – kionyeshe kiini cha uchunguzi ii) Utangulizi   Mtahiniwa ataje jopokazi: wanachama walioteuliwa, aliyeteua jopokazi  Hadidu za rejea (Masharti Read More …

Share this: