KCSE Past Papers 2013 Kiswahili Paper 3 (102/3)

5.2.3 Kiswahili Paper 3 (102/3) FASIHI SIMULIZI l. (a) Maana ya Vitanza Ndimi Vitanza ndimi ni virai/vishazi au sentensi zenye sauti zinazokaribiana au zinazofanana’ kimatamshi na ambazo hutatiza rntu kuzitamka. Aghalabu huundwa kwa vitate, vitawe, au hata kurudia maneno yalc Read More …

Share this:

KCSE Past Papers 2013 Kiswahili Paper 2 (102/2)

5.2.2 Kiswahili Paper 2 (102/2) 1. Ufahamu (a)Kuharibika kwa miundomsingi/barabara mbovu Mishahara duni Malalamishi yao kutosikilizwa Kutothaminiwa kwa utaalamu Kukosa huduma za kimsingi k.v. maji Kuvutiwa na maisha ya kuridhisha huko ng’amb0 Kutokuwa na matumaini ya mustakabali mwcma nchini.4×1-alama4 b) Read More …

Share this:

KCSE Past Papers 2013 Kiswahili Paper 1 (102/1)

Kiswahili Paper 1 (102/1) 1.Huu ni utungo amilifu. Vipengele viwili vikuu vya utungo wa aina hii vishughulikiwe: (a) Maudhui; (b) Muundo. Muundo wa memo Vipengele vifuatavyo vya kimsingi vizingatiwe. (H) (i) Nembo na anwani ya Kampuni ya Jitihada. Iandikwe juu, katikati Read More …

Share this:

KCSE Past Papers 2016 Kiswahili Paper 2 (102/2)

2016 Kiswahili Karatasi ya 2 Lugha (a) Eleza athari za madeni kwa nchi zinazoendelea.(alama 2) ❖ Asilimia kubwa ya patu la mataifa yanayoendelea huishia kulipa madeni haya. ❖ Hivyo inakuwa vigumu kwa mataifa hayo hujikwamua kutokana na umaskini (b) Kwa Read More …

Share this:

KCSE Past Papers 2017 Kiswahili Paper 3 (102/3)

2017 Fasihi Karatasi ya 3 Sehemu A: Fasihi Simulizi Majibu Lazima (20 marks) (a) “Huu ni wimbo wa sifa.” Thibitisha kauli hii kwa kutoa mifano mitatu kutoka kwenye utungo huu. (alama 3) (i). Kuonyesha Mbwene kama aliye jasiri- aliwakabi1i_kwa kitali Read More …

Share this:

KCSE Past Papers 2017 Kiswahili Paper 2 (102/2)

2017 Kiswahili Karatasi ya 2 Lugha Ufahamu Maswali na Majibu: (Alama 15) (a) “Kufauikiwa kwa watu wenye mahitaji maalumu ktmategemea jamii.” Thibitisha kwa kutoa hoja sita kutoka aya tatu za kwanza. (alama 6) Wazazi Wanampeleka Bahati shuleni. Bahati kupata dhiki Read More …

Share this:

KCSE Past Papers 2017 Kiswahili Paper 1 (102/1)

Kiswahili Paper 1 (102/1) 1. (i) Hili ni swali ambalo linamhitaji mtahiniwa kuandika barua rasmi kwa mhariri. (ii) Kaida Za uandishi Wa barua rasmi zifilatwe. (iii) Vipengele viwili vya tungo za aina hii vishughulikiwez. I. Muundo na mfindo. (a) Sura Read More …

Share this:

KCSE Past Papers 2018 Kiswahili Paper 3 (102/3)

Kiswahili Paper 3 (102/1) (a) Mtahiniwa abainishe hali duni ya maisha (au matatizo) ambayo nafsineni inaangazia. Mifano: (i) Umaskini Kuzunguka barabarani bila mavazi. – Vifurushi vitupu ndivyo milki yao. (ubeti 1) (ii) Ukiukaji wa haki za kîbinadamu — watu wengi Read More …

Share this:

KCSE Past Papers 2018 Kiswahili Paper 2 (102/2)

Majibu (a) “Malengo yetu ya kuwateua viongozi yamesalitiwa.” Thibitisha kauli hii kwa kurejelea hoja sita kutoka kwenye taarifa. (alama 6)   Vijana kusoma na kutopata kazi. Waliosoma kupewa kazi za hadhi ya chini huku wasiosoma wakiwa wakubwa. Raia kuteua viongozi Read More …

Share this: