Karatasi Ya 1 Insha Mwongozo Wa Kusahihisha 1. Hii ni ripoti Yafuatayo yazingatiwe:- a) Muundo Sura ya ripoti idhihirike i) Kichwa – kionyeshe kiini cha uchunguzi ii) Utangulizi Mtahiniwa ataje jopokazi: wanachama walioteuliwa, aliyeteua jopokazi Hadidu za rejea (Masharti Read More …
Month: September 2022
KISWAHILI – Kenya Certificate of Secondary Education (K.C.S.E) Usahihisho /Marking Scheme
KCSE Past Papers 2021 Kiswahili Karatasi ya 1 (102/1) KCSE Past Papers 2021 Kiswahili Karatasi ya 2 (102/2) KCSE Past Papers 2021 Kiswahili Karatasi ya 3 (102/3) KCSE Past Papers 2020 Kiswahili Karatasi ya 1 (102/1) KCSE Past Papers 2020 Read More …
KCSE Past Papers 2013 Kiswahili Paper 3 (102/3)
4.23 Kiswahili Paper 3 (102/3) SEHEMU A : FASIHI SIMULIZI 1 Lazima (a) Huku ukitoa mfano, eleza maana ya vitanza ndimi. (alama. 2) (b) Fafanua majukumu sita ya vitanza ndimi katika jamii. (alama 6) (c) Eleza mbinu sita unazoweza kutumia Read More …
KCSE Past Papers 2013 Kiswahili Paper 2 (102/2)
4.2.2 Kiswahili Paper 2 (102/2) UFAHAMU: (Alama 15) Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali. Gari lake kuukuu lilikuwa linapambana na barabara yenye mashimo yaliyoshiba na kutapika maji ya mvua ambayo sasa ilikuwa inaanza kupusa. Japo daima alipambana na usukani kunako mashimo Read More …
KCSE Past Papers 2013 Kiswahili Paper 1 (102/1)
KCSE Past Papers Kiswahili 2013 4.2.1 Kiswahili Paper 1 (102/1) 1.Lazima: Wewe ni meneja katika kampuni ya Jitihada ambapo pamekuwa na visa vya ukiukaji wa maadili ya kikazi. Waandikie wafanyakazi memo kuwaonya dhidi ya jambo hili. 2 .“Rununu (simutamba) imeleta Read More …
KCSE Past Papers 2014 Kiswahili Paper 3 (102/3)
Karatasi ya 3 FASIHI SEHEMU A: RIWAYA 1. Lazima K. Walibora: Kidagaa Kimemwozea “Labda ni suala la mzigo wa mwenzio kanda la usufi.” “….Sijui ‘mwenyewe’ aliyetajwa ni nani. Lakini sharti awe mtu ambaye kwake msiba kwa wengine kwake arusi.” (a) Fafanua Read More …
KCSE Past Papers 2014 Kiswahili Paper 2 (102/2)
KISWAHILI Karatasi ya 2 LUGHA UFAHAMU: (Alama 15) Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali. Afisa wa ukaguzi wa abiria na mizigo alimrudishia cheti chake cha usafiri na kubofya tarakilishi yake kuashiria kuanza kumhudumia mteja mwingine. Duma alikichukua cheti chake cha usafiri Read More …
KCSE Past Papers 2014 Kiswahili Paper 1 (102/1)
KISWAHILI Karatasi ya 1 INSHA 1 Lazima Andika hotuba utakayowatolea wazazi, walimu na wanafunzi kuhusu umuhimu wa ushauri/nasha katika shule za sekondari. 2 Andika insha kuhusu jinsi raia wanavyoendeleza matumizi mabaya ya ardhi nchini. 3 Andika kisa kitakachodhihirisha maana ya methali: Read More …
KCSE Past Papers 2015 Kiswahili Paper 3 (102/3)
Karatasi ya 3 FASIHI SEHEMU A : FASIHI SIMULIZI Lazima (a) Soma utungo ufilatao kisha ujibu maswali. Hadithi ya Jabari inasimuliwa na jamii nyingi. Jabari alizaliwa kashika mkuki mkononi. Mawio ambayo kilio chakc, ambacho kwa kweli kilikuwa mugurumo, kilipopasua anga, nyota kubwa Read More …
KCSE Past Papers 2015 Kiswahili Paper 2 (102/2)
Karatasi ya 2 LUGHA UFAHAMU: (Alama 15) Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali. Siku moja nilifika kumwona babu yangu kule kwetu kijijini bila kumtolea taarifa mbele. Nilipofika nilimkuta amevaa magwanda yake yaliyokula chumvi hadi yakakinai. Alinitazama huku akitabasamu akisema, “Tabia hii Read More …