KCSE Past Papers 2017 Kiswahili Paper 2 (102/2)

2017 Kiswahili Karatasi ya 2 Lugha Ufahamu Maswali na Majibu: (Alama 15) (a) “Kufauikiwa kwa watu wenye mahitaji maalumu ktmategemea jamii.” Thibitisha kwa kutoa hoja sita kutoka aya tatu za kwanza. (alama 6) Wazazi Wanampeleka Bahati shuleni. Bahati kupata dhiki Read More …

Share this:

KCSE Past Papers 2017 Kiswahili Paper 1 (102/1)

Kiswahili Paper 1 (102/1) 1. (i) Hili ni swali ambalo linamhitaji mtahiniwa kuandika barua rasmi kwa mhariri. (ii) Kaida Za uandishi Wa barua rasmi zifilatwe. (iii) Vipengele viwili vya tungo za aina hii vishughulikiwez. I. Muundo na mfindo. (a) Sura Read More …

Share this:

KCSE Past Papers 2018 Kiswahili Paper 3 (102/3)

Kiswahili Paper 3 (102/1) (a) Mtahiniwa abainishe hali duni ya maisha (au matatizo) ambayo nafsineni inaangazia. Mifano: (i) Umaskini Kuzunguka barabarani bila mavazi. – Vifurushi vitupu ndivyo milki yao. (ubeti 1) (ii) Ukiukaji wa haki za kîbinadamu — watu wengi Read More …

Share this:

KCSE Past Papers 2018 Kiswahili Paper 2 (102/2)

Majibu (a) “Malengo yetu ya kuwateua viongozi yamesalitiwa.” Thibitisha kauli hii kwa kurejelea hoja sita kutoka kwenye taarifa. (alama 6)   Vijana kusoma na kutopata kazi. Waliosoma kupewa kazi za hadhi ya chini huku wasiosoma wakiwa wakubwa. Raia kuteua viongozi Read More …

Share this:

KCSE Past Papers 2019 Kiswahili Karatasi ya 3 (102/3)

Kiswahili Karatasi 3 (102/3) MAJIBU 1. Haya ni maneno ya Msimulizi/mwandishi Yanamhusu Selume Selume yumo kwenye kituo cha Afya cha Mwanzo Mpya/ yanarejelea mandhari/ mazingira ya Kituo cha Afya cha Mwanzo Mpya Anawazia changamoto alizopata alipokuwa akifanya kazi kwenye hospitali Read More …

Share this:

KCSE Past Papers 2020 Kiswahili Karatasi ya 3 (102/3)

Karatasi Ya 3 Mwongozo Wa Kusahihisha i. Mzungumzaji ni Mwalimu Mstaafu ii. Anazungumza na hadhira ambayo imekukja kumuaga iii. Yuko shuleni II. Toni ya kuonya/kutahadharisha – si vizuri kukitia kutumbua mchanga III. i. Kuwadhalilisha wenzake kama vile Baraka, FEsto, Mshamba Read More …

Share this:

KCSE Past Papers 2020 Kiswahili Karatasi ya 2 (102/2)

Karatasi Ya 2 Maajibu (a) Kwa kurejelea kifungu, fafanua matatizo manne yanayoweza kusababishwa na matumizi ya simu kwa familia. (alama 4) i. Kunyamaziana/Upweke. Licha ya kuwa pamoja kila mtu anashughulika na simu yake. ii. Kutofahamu kinachoendelea kwenye ujirani wao/Watoto Kutoskia Read More …

Share this: