Kenya Certificate of Secondary Education 2016 Kiswahili Karatasi ya 3 Lugha SEHEMU A: HADITHI FUPI K. Walibora na S. A. Mohamed: Damu Nyeusi na Hadithi Nyingine 1. Lazima Jadili maudhui ya elimu kwa mujibu wa “Kanda la Usufi”, “Shaka ya Read More …
Day: September 8, 2022
KCSE Past Papers 2016 Kiswahili Paper 2 (102/2)
Kenya Certificate of Secondary Education 2016 Kiswahili Karatasi ya 1 Lugha 1 UFAHAMU: (Alama 15) Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali. Ulimwengu unatakiwa kuzua mbinu za kulitatua tatizo la ufukara ambao ni kikwazo kikuu cha juhudi za maendeleo. Ufukara unayakabili Read More …
KCSE Past Papers 2016 Kiswahili Paper 1 (102/1)
Kenya Certificate of Secondary Education 2016 Kiswahili Karatasi ya 1 Lugha 1 Lazima Wewe ni katibu wa kamati inayochunguza jinni ya kupambana na tatizo sugu la dawa za kulevya. Andika ripoti ukitoa mapendekezo ya kamati. 2 “Utalii una faida nyingi Read More …
KCSE Past Papers 2017 Kiswahili Paper 3 (102/3)
Kenya Certificate of Secondary Education 2017 Fasihi Karatasi ya 3 Sehemu A: Fasihi Simulizi Lazima (20 marks) Sama utungo ufuatao kisha ujibu maswali. Walikuja mahasidi, ah, walikuja Nyayo zao zikirindima, ah rindima Kwa ghamidha ya uadui, 00 uadui Wali Wakibeba Read More …
KCSE Past Papers 2017 Kiswahili Paper 2 (102/2)
Kenya Certificate of Secondary Education 2017 Kiswahili Karatasi ya 2 Lugha UFAHAMU: (Alama 15) Soma kifimgu kifilatacho kisha ujibu maswali. “Asante baba, asante mama,” akasema Bahati jioni moja baada ya chajio, “Sijui ilitokeaje kukawa na Waru Wanaothamini binadamu Wenye mahitaji Read More …
KCSE Past Papers 2017 Kiswahili Paper 1 (102/1)
Kenya Certificate of Secondary Education Kiswahili – Insha 1. Lazima Shirika la kigeni la Tugawane limeanzisha kiwanda cha kutengenezea matofali katika eneobunge Ienu. Mwandikie barua Mhariri wa Gazeti la Mzalendo ukitoa maoni yako kuhusu faida na changamoto zinazoweza kutokana na Read More …
