Kenya Certificate of Secondary Education
2016 Kiswahili Karatasi ya 1
Lugha
1 Lazima
Wewe ni katibu wa kamati inayochunguza jinni ya kupambana na tatizo sugu la dawa za kulevya. Andika ripoti ukitoa mapendekezo ya kamati.
2 “Utalii una faida nyingi kuliko madhara nchini Kenya.” Jadili.
3 Andika insha inayobainisha maana ya methali’: Chombo cha kuzama hakina usukani.
4 Tunga kisa kitakachomalizika kwa: “Niligugumia ile chupa ya maji kwa pupa. Sikuamini kuwa kiu yangu ingekatika. Baada ya kumaliza kunywa maji yote, ndipo nilipotambua kwa kweli kuwa maji ni uhai.
(Visited 320 times, 1 visits today)
Share this: