KCSE Past Papers 2018 Kiswahili Paper 1 (102/1)

Kenya Certificate of Secondary Education Kiswahili – Insha

1. Lazima

Wewe ni katibu wa chama cha Walinda mazingira Wasio na mipaka shuleni mwenu.Andika kumbukumbu za mkutano uliofanyika kujadili suala la uharibifti wa mazingira katika shuleni.

2. “Udanganyifu katika mitihani haumwathiri mwanafunzi tu, bali pia jamii yake.’ Fafanua.

3. Tunga kisa kitakachodhihirisha maana ya inethali ifuatayo:

Mti mkuu ukigwa, wana wa ndege huyumba.

4. Tunga kisa kinachoanza kwa kauli ifuatayo:

“Waja husema kuwa subira huvuta herr: hii yangu inazidi kuvuta machungu kila kuchapo. Hij herr itapatikana lini?” Tuama alijisemea kwa masikitiko.

(Visited 1,583 times, 1 visits today)
Share this:

Written by