KCSE Past Papers 2016 Kiswahili Paper 3 (102/3)

(i) nasongwa

❖ Nasagwa – naumia

(ii) kuriaria

❖ kuzurura, kurandaranda

(iii) adinasi

❖ binadamu

(a) Eleza toni ya shairi hill. (Alama 2)

❖ Toni ya mahimaini – lazima niendelee kujitahidi kwa kila hatua.

❖ Toni ya uchovu – Nami tayari nimechoka tiki.

(b) Mshairi ana maana gani anaposema “Kuwa tayari kupanda na kushuka” katika ubeti wa tatu? (Alama 2)

❖ Kuwa tayari kukabiliana na uzuru na ugumu wa maisha

(c) Fafanua tamathali tano za usemi zilizotumiwa katika shairi hill ukizitolea mifano mwafaka. (Alama 10)

❖ Taswira – picha inayojitokeza unaposoma kazi ya fasihi n.k. wa miinuko na kuruba.

❖ Taswira kinzani – Nizame na kuibuika

❖ Nipande na kushuka.

❖ Taashira – Barabara kuimarisha maisha.

❖ Mswali balagha – hadi lini?

❖ Uzungumzi nafsi – mizame na kuibuka, -Nipanda na kushuka.

(d) Eleza ujumbe unaojitokeza katika ubeti wa tano wa shairi hill. (Alama 2) ❖ Msemaji ameshangaa kuwa amekuwa akiomba kwa muda na anatilia shaka iwapo Mungu amechoshwa na maombi yake.

(e) Eleza maana ya: (Alama 2)

(i) kuruba

❖ Hali ya kuwa na vikwazo na magumu ya maisha.

(ii) barabara yenye ukungu

❖ Mkondo wa maisha ambapo anayokubaliana nayo mja si wazi. Kila hisia huibua mambo mapya.

8.Sehemu E: Fasihi Simulizi

(a)Kwa kutumia mifano mwafaka eleza majukumu matano ya nyimbo katika jamii.(Alama 10)

❖ Nyimbo huhifadhi historia ya jamii. Mfano nyimbo za siasa, nyimbo za sifa, nyimbo za vita.

❖ Huhifadhi na kupitisha utamaduni k.v mbolezi hubeba utamaduni iva jamii kuhusu kyb.

❖ Huliwaza kv. Mboiozi Kuonyesha ustadi / ubora iva jamii.

• Huham a sisha • Hudimisha

❖ Kukuza utangamano

• Ni njia ya kutakwa hisia • Huadilisha.

❖ Kukashifu tabia hasi

❖ Kusifu tabia chanya

❖ Hukuza uzalendo kuimarisha ubunifu.

(b) Ili kuweza kufanikisha uwasilishaji wa utanzu wa nyimbo kwa hadhira eleza mambo anayohitaji mwimbaji. (Alama 10)

❖ Kuwa na sauti ya kurutia

❖ Kuihusisha hadhira

❖ Kuieiewa had/lira

❖ Kuelewa utamaduni wa hadhira

❖ Kutumia viziada lugha

❖ Kuwa mkakamavu

❖ Aelewe lugha ya hadhira

❖ Awe mbunifu

❖ Ahusishe masuala ibuka yanayoathirijamii ili kupitisha maadili yafaayo.

❖ Awe na kumbukumbu nzuri.

❖ Avae maleba

❖ Abadilishetoni kulingana na ujumbe

❖ Kutumia ala kwa njia mwafaka ili kukuza mvuto wa utungo wake.

Hadithi Fupi<p? k.=”” walibora=”” na=”” s.=”” a.=”” mohamed:=”” damu=”” nyeusi=”” hadithi=”” nyingine=”” <p=””>1. Lazima Jadili maudhui ya elimu kwa mujibu wa “Kanda la Usufi”, “Shaka ya Mambo” na “Tazama na Mauti”, (Alama 20)</p?>

❖ Shule imesawiriwa kama mahali pa kuadilisha wanafunzi

❖ Kuhakikisha kuwa wanafunzi wamo katika hali nzuri ya kiafya iii kuendeiea katika masomo -mfano – desturi ya shule ya Askofu Timotheo kuwachunguza wasichana vote kama wana mimba.

❖ Matokeo ya vitendo vya wanafunzi yanadhihirika katika hadithi tofauti. Katika Kanda la Usufi, Sela na Masazu hawafanyi vyema kwenye mtihani

❖ Katika Tazamana na Mauti, ukosefu wa hamu ya masomo unamfanya Lucy asifanye vyema kwenye mtihani

❖ Wazazi hukatatam-aa watoto wao wanapoenda kinyume na matarajio yao.

❖ Elimu pia humpa binadamu uhuru kujipangia mustakabadhi wake.

❖ Masazu anapata kazi ya kijurudu jiko huku Sela akitamani kumchukua mtoto wake ajilele kwa vile hakuwa na la kufanya Masazu anapoenda kazini

❖ Katika Kanda la Usufi imeelezwa kuwa wasichana walitarajiwa kuendeleza shughuli zao kwa utulivu na ustaarabu huku wakizingatia maadili ya hali ya juu. Elimu pia inatarajiwa kuwapa wanafunzi nafasi ya kukuza vipaji vyao na kuingiliana ili kuelewana zaidi.

❖ Jukumu la mwanafunzi katika masomo limejitokeleza Bi Margaret mwalimu mkuu wa shule ya Askofu Timotheo anapowahutubia wanafunzi na kusisitiza uwajibikaji katika vitendo vyao.

❖ Katika Tazamana na Mauti Lucy anaamini kuwa jiji hili lina raha kamili bila karaha.

❖ Anategemea mzungu atakayemwoa na kumpeleka London na baadaya kufika London akaanza kutegemea kifo cha Bw. Crusoe ambacho kingempa urithi na raha aliyotaka maishani

❖ Hili linadhihirika wakati mzee Butali anapomwuliza mwalimu kwa nini wazazi huwapeleka watoto shuleni.

❖ Ukosefu wa elimu umeonyeshwa kama mojawapo ya njia zinazowapa vijana mitazamo ftnyu kuhusu maisha.

❖ Esther katika Shaka ya Mambo alijua alichokuwa akitafuta.

❖ Kwa upande mwingine mustakabali wa Lucy ulitegemea wengine.

❖ Alikuwa amepanga ni kwa muda gani angeendelea kufanya kazijinsi atakavyopanga wakati wake baada ya kujiunga na chuo kikuu na anachotaka kusomea.

 

(Visited 193 times, 1 visits today)
Share this:

Written by