KIS  210 : NADHARIA NA UHAKIKI  WA FASIHI

CHUO KIKUU CHA MAASAI MARA
BEWA LA NAROK MJINI

SECOND YEAR EXAMINATION FOR THE BACHELOR IN EDUCATION ARTS

KIS 210 : NADHARIA NA UHAKIKI WA FASIHI

AUGUST 2015 TIME 2HRS
MAAGIZO
Jibu swali la kwanza na mengine mawili.
1.a) Fafanua dhana zifuatazo:
i. Nadharia
ii. Uhakiki
iii. Fasihi ( Alama 6)
b)Eleza sifa zozote tano za mhakiki bora wa fasihi. (Alama 10)
c) Fafanua aina zozote nne za uhakiki wa fasihi. (Alama 8)
d)Eleza tofauti kati ya nadharia asilia na nadharia nyambuaji. (Alama 6 )
2. Kezilahabi ni mwandishi aliyetamauka.Thibitisha ukirejelea riwaya ya Rosa Mistika.
( Alama20). 3.‘Nadharia ya uhalisia imetumiwa na wandishi wengi wa riwaya’ Jadili kauli hii kwa kurejelea
riwaya ya Wema Hawajazaliwa . ( Alama 20)
4.’ Urasimi hujitokeza katika ushairi wa Kiswahili’ Thibitisha kauli hii. (Alama 20)
5. Kwa kurejelea diwani ya Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyinginezo AU tamthilia ya Mama Ee , thibitisha nadharia ya ufeministi (Alama 20)

 

(Visited 317 times, 1 visits today)
Share this:

Written by