Kenya Certificate of Secondary Education Kiswahili – Fasihi Karatasi ya 3
1.Lazima
N ilreyaandika lâaaneno haya KWa lıiaba ya:
Malrilioni wasio malazi
Wabebao vifurushi vilivyo wazi
wazungukao barabaranı bil a mavazi Milki yao ya ıraisha.
Kwa niaba ya:
Maelfu wanouawa bila haki wiki baada ya wiki
leo sumu au spaki
leo kamba au bunduki
na kwa wale wanosubiri kunyongwa.
Kwa niaba ya:
Vijana walio mitaani
wale mayatima wa maskini wazBngukao mapipani
kila pembe mjini
kuokota sumu kutia tumboni kujiua bila kujua
ili kupata kuishi.
Kwa niaba ya:
Wakongwe wasiojiweza walao chakula kiłichooza
wachuktiao choo wakijipakaza polepole
wakijiangamiza katika vyumba vyao
baridi na giza
kwa sababu haWarla Watazama
waga wauguza.
Kwa niaba ya:
waish i na nyingi hofu
kwa sababu ya madawa tifutifu
yatiwayo vyakulani yakitufanya wafu
bila ya mtu kuona
kama kwanba sote tu vipofu,
Na kwa niaba yetu sote;
Tuliofungwa vifungoni, duniani Tuliosukunıwa kingoni, maishani Tuliopokonywa maoni, machoni Tuliotiliwa sumu, malishoni Tuliodidimizwa kinyesini
ili ‘maendeleo
yaendelee kwenda njiani
huku yakitema machicha ya roho zetu.
(a) “Shairi hili linakatisha tamaa.” Thibitisha kauli hii kwa kutoa mifano saba kutoka kwenye shairi. ( alama 7)
(b) Fafanua umuhimu wa aina mbili za urudiaji zilizotumiwa katika shairi hili. (alama 4)
(c) Bainisha vipengele vifuatavyo vya kimtindo katika shairi hili.
(i) tasfida
(ii) kinaya
(iii) tashihisi (alama 3)
(d) Eleza kwa kutoa mfano, mbinu moja ambayo mshairi ametumia kutosheleza mahitajl ya kiarudh) katika ubeti wa tano. (alama 2)
(e) Andika ubeti wa pili kwa lugha ya nathari.(alama 2)
(f) Bainisha nafsineni katika shairi hili.(alama 2)
SEHEMU B: RIWAYA
K. Walibora: Kidagaa Kimem›vozea Jibu swali la 2 au la 3.
2. “Riwaya hii ya aina yake inathibiiisha kwa usanii wa kupi8iwa mfano jinsi ndoto ya uhuru b wi Afrika imegeuka kuwa jinamizi.” (a) Eleza muktddhâ Wa dondoo hili. (alama 4)
tb) Onyesha jinsi ndoto ya uhuru barani Afrika imegeuka kuwa jinamizi kwa kuwarejelea wahusika Wâftlâtâo:
(¡) Majisifu (alama 8)
(ii) Fao(alama 4) (iii) Wahudumu katika zahanati ya Nasaba Bora(alama 4)
3. (d) “Leo usukani uko mikononi mıvetu wenyewe. Mbeberu amekwisha ng ’olewa pamoja na mizizi yake.”
Onyesha kinaya kalika kauli hii kwa kutoa mifano ku mi kutoka Kidagaa Kimemıvozea. (alama 10)
(b) Tathmini mchango wa wanyonge katika kuzoroteka kwa hali ya maisha yao. (a lama 10)(alama 4)
SEHEMU C: TAMTHILIA
P. Kea: Kfgogo
Jibu swali la 4 au la5.
4. Tusiwaruhusu watu wachache waliojazwa kasumba za kikoloni fiturejesha kwenye utumwa. Hatuwezi kukubali kutawaliwa kidhalimu tena!”
(a) Eleza muktadha wa dondoo hili. (alama 4)
(b) Fafanua kinyume kinachojitokeza katika kauli iliyopigiwa mstari kwa kurejelea hoja kumi na sita kutoka kwenye tamthilia hii. ( alama 16)
5. “Si haki! Unayazika matumaini yetu. Unaifukia kesho yetu.”
(a) Fafanua umuhimu wa mzungumzaji wa maneno haya katika kuijenga taınthilia ya Kigogo. (alama 6)
(b) Kwa kurejelea hoja kumi na nne kutoka kwenye tamthilia, jadili namna uongozi wa Sagamoyo unavyoyazika matumaini ya raia. (alama 14)
Sehemu D: Hadithi Fupi
A. Chokocho na D. Kayanda:
Tumbo Lisiloshiba na Hadhithi Nyingine Jibu swali la 6 au la 7. Said A. Mohamed: “Tumbo Lisiloshiba”
6. “. . .lakini hakuiruhusu sahau îketi na kuitawala kichwan mwake. .. hapoi. .. Angepoaje na ule moto unaomlipukia kila mtu pale mtaani, umeacha mpaka sasa kOVu bichi moyoni mwa kila
(a) Eleza muktadha wa dondoo hili.(alama 4)
(b) Bainisha tamathali tatu za usemi ambazo zimetumiwa katika kauli hii. ( Fafanua sifa tano za mhusika anayerejelewa na kauli hii.(alama 3)
(d) Huku ukijadili hoja nane, onyesha jinsi wakazi wa M adongoporomoka walivyolipukiwa na moto.(alama 5)
7. Onyesha jinsi maudhui ya utabaka yalivyoshughulikiwa katika Tumbo Lisiloshiba na Hadilhi Nvingine kwa kurejelea hadithi zifuatazo:
(a) Mkubwa (alama 12)
(b) Kidege (alama 8)
Sehemu E:Fasihi Simulizi
Soma utungo ufuatayo kisha ujibu maswali.
Nalilitizama jua la kinjano Likijikokota kwa jitirnai kutBa Mbele ya nguu
ya mlima uso kikomo likipisha machweo yenye giza la kaniki
Likishindilia uzito wa nanga kwenye moyo tepetevu
uloonja shubiri ya kwondokewa.
Twalitazamana na hiyo shamsi ikipotelea kwenye upeo wa macho huku nyuma ikinambia “yamekwisha.”.
Naliona kope zake zikimezwa na kiza Nikaliona jua likitoweka pamwe nawe Jagina wa maisha yangu.
Nikaliona likikokota aushiyo likabwakura rohoyo kutoka kwenye vyangu vitanga.
Kumbukizi zilikuleta
kwenye jukwaa la akili yangu pazia likafunguka
likayaleta mawio
ya siku ya kvamkia kuuka kwako.
Nalikuona kwenye ruya ukitazamana ana kwa ana na hasidi alokakawana
kutuhasiri mi nawe
Nalikiona kipaji chako kikitwaa wasiwasi ukawa ni kama wanywea kwa wake mtazamo.
Hata uliponishika mkono kunambia tukimbile tuj‹ ponye nalikuwa rli mechelewa Ulikuwa keshanipa kisogo, huku nyuma waniita, “Mwanangu, njoo tujisalimishe Mwanangu njoo, nguvu zimenisha.” Kumbe hiyo ilikuwa tahadhari kWamba Iziraili yu karibu moyowe kuchukua?
Kumbe wali ukisema,‘Buriani mwanagu?”
Siku ya faradhi ilifika, mkono kulazimika kukupungia
Naliutazama mwilio mtakatifu
Nalilitazama tambolo liloumbuka wali uıredhibitiwa shujaa wangu ndani ya chumba chenye kuta na paa la mbao.
Hata tulipokukaribisha,
kwa lako kaburi
Nilijipa kujiambia, “Hajenda popote
mtiına bado wapiga.”v Nalirgoja unisalimu Nalingojea tabasamu lako lenye haya Ela hayo hayakutimila Walikuwa kesha kwenda Kuwa milki, ya ardhi isoshiba. Hata waliponena, “Udongo kwa udongo,”
NiJikusitJa ewe yeli uso kifani ııkighani ubeti wa wimbo
wako pendwa mawazoni mwangu,
“Kifo ni hasidi, Ikiwa mimi Gunge
Roho yarıgu nitamkabidhi Iziraili Mimi niliyekaidi bunduki ya Mzungu Katika kitali cha miaka minne
Kwetu kukarudi fahari na jina.
Mimi niliyeshindana na ndui na tetekuwanga, iliyow apukutislıa wana wote wa Ngome Nikabaki mimi, jogoo wa kijiji.
“Kifo ni shujaa,
Ikiwa mimi Gunge mwili wangu huu mtukufu
kwa tambo na nemsi nitaukubalia
kuwa lengo la dua za kuonewa imani kuwa karamu ya macho ya mahasimu kuvikwa suti na mwosha kufunikwa kwa udongo uliolaaniwa
Mimi Gurige,
Niliruhusu jabali kubwa Likibinye changu kichwa Likidhibiti ehangu kidari Linizibe zangu pumzi Girige niache kutawala.”
Huu ni wimbo wa aina gani? (alama l)
Andika sababu mbili kuthibitisha jibu lako la a(i). (alama 1)
Ni nani anayeimbiwa na nafsineni? (alama 1)
Bainisha matatizo eıawili yanayoikumba jamii inayosawiriwa na utungo buu. (alama 2)
(iv) Bainisha mbinu zifuatazo katıka wimbo huu.(alama 2)
(i) ritifaa
(ii) mbinu rejeshi
(iii). taashira (alama 3)
Unanuia kutumia mbinu ya kutazama na kushiriki kufanya utafiti kuhusu nyimbo za aina hii. Eleza sababu sita za kuchagua mbinu hii. (alama 6)
(b) Fafanua mikakati sita ambayo jamii inaweza kutumia ili kuUdumisha utanzu wa semi. (alama 6)